Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mahiri wa Yanga, Zawadi Mauya
Huu ni msimu wake wa tatu katika kikosi cha Yanga, Mauya ameendelea kuaminiwa na kocha Nasreddine Nabi
Ikiwa ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, matokeo ya ushindi kwa Yanga katika mchezo dhidi ya Mbeya City baadae leo, itakuwa zawadi kubwa kwake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii
HAPPY BIRTHDAY MAUYA...!
ADVERTISE HERE