Jumamosi, Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Mbeya City ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa 12:15 jioni
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-


ADVERTISE HERE