Wananchi wanarejea Dar kuisaka 'unbeaten' ya 49

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2022
Wananchi wanarejea Dar kuisaka 'unbeaten' ya 49

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji hapo jana, kikosi cha Yanga kimeondoka Dodoma kurejea Dar es salaam 

Jumamosi Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itakuwa mwenyeji wa Mbeya City katika mchezo ambao utapigwa saa 10 jioni

Yanga imepania kuendeleza rekodi yake ya 'unbeaten' lakini muhimu zaidi ni kupata matokeo ya ushindi ambayo yatawahakikishia kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kabla ya mchezo wao wa kiporo dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Novemba 29 uwanja wa Sokoine, Mbeya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’