Ikiwa sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji, mazoezi ya jioni ya leo ilikuwa mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya Yanga U20
Yanga ikaibuka na ushindi wa mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa Avic Town







ADVERTISE HERE