Aucho ashinda tuzo Uganda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2022
Aucho ashinda tuzo Uganda

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Uganda kwa msimu wa 2021/22 baada ya kupigiwa kura kwa wingi

Aucho ameshinda tuzo hiyo akiwapiku mlinda lango wa Mamelodi Sundowns Denis Onyango na mshambuliaji wa Vipers Fc Yunus Sentum

Katika kinyang'anyiro hicho, Aucho alipata kura 3,646,064 (79.40%) , Sentamu nafasi ya pili akipata kura 52,3876 (11.41%) wakati Onyango akishika nafasi ya tatu akipata kura 42,2278 (9.20% 3)

Aucho amekuwa mchezaji wa nne kushinda tuzo hiyo baada ya Taddeo Lwanga, Nicholas Wadada na Allan Okello

Aucho amewashukuru mashabiki wote waliompigia kura ikiwemo mashabiki wa Yanga ambao walimpigia kura kwa wingi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’