Singida BS watauweza mziki waliopewa Club Africain?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2022
Singida BS watauweza mziki waliopewa Club Africain?

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo huenda akatumia kikosi kilichoiangamiza Club Africane kule Tunisia katika mchezo wa kombe la Shirikisho na kufanikiwa kutinga hatua ya makundi

Yanga inahitaji ushindi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Big Stars ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1 usiku

Ukiondoa mlinda lango Djigui Diarra na Stephane Aziz Ki ambaye pamoja na kutumikia adhabu, ameruhusiwa kwenda kujiunga na timu ya Taifa, wachezaji wengine walioipa Yanga ushindi kule Tunisia wote wapoΒ 

Pengine mabadiliko madogo yanaweza kuonekana kwenye safu ya ulinzi pembeni Djuma Shabani huenda akarejea upande wa kulia na Kibwana Shomari kuhamia upande wa kushoto

Yannich Bangala, Dickson Job na Khalid Aucho wapo kama ilivyo kwa Jesus Moloko, Salum Abubakar 'Sure' na Feisal Salum

Fiston Mayele anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji huku Bernard Morrison akishambulia kutokea wingi ya kushoto

Utakuwa mchezo wenye ushindani, Yanga inahitaji kushinda ili kurejea kileleni katika msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’