Yanga inaendelea kuweka, kuvunja rekodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2022
Yanga inaendelea kuweka, kuvunja rekodi

Ushindi wa bao 1-0 ambao Yanga waliupata dhidi ya Kagera Sugar juzi, ulikuwa na maana kubwa kwa Wananchi kwani ulikuwa mchezo wa 46 ambao Yanga wamecheza pasipo kupoteza

Yanga imefikia rekodi ilipowahi kuwekwa na mabingwa kihistoria barani Afrika, Al Ahly

Yanga sasa inafukuzia rekodi ya vigogo wawili Esperance ya Tunisia na Asec Mimosas ya Ivory Coast

Esperance waliwahi kucheza mechi 85 pasipo kupoteza (kwenye ligi) wakati Asec walicheza mechi 108

Wakati msimu huu unaanza, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wanataka kucheza msimu wa pili mfululizo pasipo kupoteza mchezo

Zimesalia mechi sita kukamilisha mzunguuko wa kwanza, mechi tatu nyumbani na mechi tatu ugenini

Wananchi hawaonekani kuwa tayari kupoteza mechi karibuni...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’