Bigirimana katika majukumu ya timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2022
Bigirimana katika majukumu ya timu ya Taifa

Kiungo wa Yanga Gael Bigirimana ameruhusiwa kwenda kujiunga na timu ya Taifa ya Burundi ambayo inatarajiwa kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki wiki ijayo

Bigirimana hakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichosafiri jijini Mwanza jana kikicheza na Kagera Sugar na kupata ushindi wa bao 1-0

Yeye na Stephane Aziz Ki ambaye alifungiwa mechi tatu (zimebaki 2) waliruhusiwa mapema kwenda kujiunga na timu zao za Taifa

Bigirimana amekuwa na wakati mgumu kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza, hatma yake na Yanga inaweza kuwa shakani dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa mwezi ujao

Kwa sasa Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anamtumia Zawadi Mauya zaidi pale Khalid Aucho anapokosekana

Mauya amekuwa katika kiwango bora jana akiwa sehemu ya kikosi kilichopambana dimba la CCM Kirumba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’