Yanga dimbani dhidi ya Kagera Sugar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2022
Yanga dimbani dhidi ya Kagera Sugar leo

Kikosi cha Yanga jioni ya leo majira ya saa 10 kitashuka uwanja wa CCM Kirumba kuwakabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Wananchi watashuka dimbani katika mchezo huo wakiwa bado na shangwe la kutinga makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain mchezo uliopigwa Tunisia Jumatano iliyopita

Kuelekea mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alisema wachezaji wake wako tayari kuipambania Yanga licha ya kuwa na uchovu wa nafasi ndefu kutoka Tunisia

Nabi alisema jambo muhimu kwao leo ni kuona wanashinda na kuwapa furaha mashabiki wao watakaojitokeza kwa wingi uwanja wa CCM Kirumba kuwashangilia

Yanga ilitua Mwanza juzi usiku na jana wachezaji wakapata nafasi ya kufanya mazoezi yao katika uwanja wa CCM Kirumba

Mchezo utapigwa kuanzia saa 10 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’