Yanga yaondoka Tunisia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2022
Yanga yaondoka Tunisia

Baada ya kukamisha kilichowapeleka Tunisia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain na kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, kikosi cha Yanga kimeondoka Tunisia kurejea Tanzania wakipitia Dubai

Wananchi wanatarajiwa kutua jijini Dar es salaam kesho Ijumaa majira ya mchana

Baada ya mapumziko ya muda mfupi, saa tatu usiku Yanga itaelekea jiji Mwanza wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa uwanja wa CCM Kirumba, Jumapili Novemba 13 2022

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’