Yanga kuwahi Tunisia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2022
Yanga kuwahi Tunisia

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini kesho Ijumaa mchana kuelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kutinga makundi ya kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain

Taarifa iliyotolewa na Yanga, imebainisha kuwa msafara wa watu 41 utaondoka nchini majira ya 9:25 mchana. Wachezaji ni 22, benchi la ufundi ni 10 na viongozi 9

Yanga itapitia Dubai ambapo inatarajiwa kuwasili usiku wa Ijumaa saa tatu na watalala hapo na kuendelea na safari kuelekea Tunisia siku ya Jumamosi

Timu itawasili Tunisia Jumamosi mchana na moja kwa moja kuelekea mji wa Sousse ambako Yanga itaweka kambi kujiandaa na mchezo dhidi ya Club Africain

Timu itarudi Mji wa Tunis jioni ya Novemba 07 ambapo Novemba 08 watafanya mazoezi yao ya mwisho kwenye uwanja wa Hammed Agrebi Olympic utakaotumika katika mchezo huo Jumatano Novemba 09

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’