Bado tuna nafasi - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2022
Bado tuna nafasi - Kaze

Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Club Africain katika mchezo wa kwanza wa mtoano kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho, kocha msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema matokeo hayo hayajawakatisha tamaa kwani bado wana nafasi ya kufuzu

Kaze amesema katika mchezo huo yapo makosa madogo walifanya lakini pia mara nyingi sio rahisi kucheza na timu iliyoweka wachezaji tisa kulinda

Kaze amesema wanaamini mchezo wa pili utakaopigwa Tunisia utakuwa tofauti kwani Club Africain wanaweza kufunguka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’