Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga muda mchache ujao watashuka uwanja wa CCM Kirumba kumenyana na Geita Gold katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameanza na kikosi hiki;
1. Djigui Diarra
2. Kibwana Shomari
3. Farid Mussa
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Zawadi Mauya
7. Denis Nkane
8. Salum Abubakar
9. Herietier Makambo
10. Feisal Salum
11. Bernard Morrison
SUB
Erick Johora
Djuma Shaban
Yannick Bangala
Joyce Lomalisa
Gael Bigirimana
Jesus Moloko
Aziz Ki
Fiston Mayele
Tuisila Kisinda
ADVERTISE HERE