Yanga yapania ushindi dhidi ya KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2022
Yanga yapania ushindi dhidi ya KMC

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 ya watani zao Simba katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kukamilisha maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya KMC

Kesho Jumatano Yanga itarudi uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na KMC katika mchezo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema msimu huu ligi ni ngumu hivyo wanapaswa kufanya vizuri katika kila mchezo

Licha ya changamoto ya ratiba, Kamwe amesema wamejipanga kushinda mchezo dhidi ya KMC pamoja na mchezo utakaofuata dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Oktoba 29 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Mchezo dhidi ya KMC ni muhimu sana kwa kocha Nasreddine Nabi kuhakikisha timu yake inavuna alama zote tatu

Yanga imecheza dakika 270 pasipo kushinda. Ilitoka sare na kupoteza dhidi ya Al Hilal na juzi kutoka sare na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’