Yanga imeshindikana, sasa ni mechi 43

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2022
Yanga imeshindikana, sasa ni mechi 43

Sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba leo imefanya Yanga iendelee kuwa ngumu kupoteza mchezo katika ligi kuu

Ni mchezo wa mfululizo 43 Yanga haijapoteza katika ligi kuu ya NBC

Aidha matokeo hayo yanaifanya Yanga iendeleze rekodi nzuri ya kutopoteza mchezo katika kipindi cha miaka mitatu kwenye ligi dhidi ya Simba, sasa ni mechi saba

Wananchi leo walitamani kuibuka na ushindi hata hivyo matokeo hayo ya sare ni stahili kwani mchezo ulikuwa 50-50

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’