Mayele anawania rekodi dhidi ya Simba leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2022
Mayele anawania rekodi dhidi ya Simba leo

Mshambuliaji Fiston Mayele leo anatarajiwa kuingoza safu ya ushambuliaji ya Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba

Mchezo huo utapigwa saa 11 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mayele atakuwa akitafuta rekodi dhidi ya Simba katika mechi za ligi kuu

Mayele ameifunga Simba mabao matatu lakini mabao yote ameyafunga katika mechi za Ngao ya Jamii

Kama atafanikiwa kufunga leo basi ataianza hesabu yake ya mabao kwenye ligi dhidi ya Simba

Msimu huu Mayele amepachika mabao matatu katika ligi kuu ya NBC pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’