Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa beki wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja'
Ninja ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa Yanga akitolewa Dodoma Jiji kwa mkopo ili apate muda zaidi wa kucheza
Tunamtakia la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY NINJA..!
ADVERTISE HERE