Daktari wa muda mrefu katika klabu ya Yanga Dk Shecky Mngazija amemaliza mkataba, Yanga imethibitisha
Dk Mngazija ameitumikia Yanga kwa takribani miaka 41
Uongozi wa Yanga umemtakia kila la kheri katika maisha yake

ADVERTISE HERE