Tuna 'enjoy' kuwafunga Simba - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2022
Tuna 'enjoy' kuwafunga Simba - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki wa Yanga wamemis 'kutetema' hivyo wanaisubiri kwa hamu siku ya Jumapili kupata burudani hiyo kutoka kwa timu yao

Β Jumapili Oktoba 23 Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Kamwe amesema matokeo mazuri dhidi ya Simba yanatokana na maandalizi, ubora wa kikosi chao na pia kwao ni furaha kupata ushindi dhidi ya Simba

"Kuwa mteja sio kwamba mtu anataka, unalazimishwa kuwa mteja. Simba ni mteja wetu. Tumemiss kutetema, mabega yanauma. Sisi kiukweli kabisa tunafurahi kuifunga Simba Tunasikia raha kumfunga Simba," alitamba Kamwe

Mara ya mwisho Yanga ilipokutana na Simba katika mchezo wa Ngao ya jamii, Wananchi waliubuka na ushindi wa mabao 2-1 ambayo yote yalifungwa na Fiston Mayele

Mayele anatarajiwa kuwaongoza Wananchi siku ya Jumapili katika mchezo mwingine ambao Yanga inahitaji ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’