Yanga imejipanga kushinda Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2022
Yanga imejipanga kushinda Jumapili

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema wanafanya maandalizi kabambe kuhakikisha wanashinda mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba siku ya Jumapili

Kaze amesema wanafahamu kwa kiasi gani mashabiki wao wameumia baada ya kushindwa kutimiza malengo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Matokeo ambayo kwa kiasi kikubwa pia yamewaumiza wachezaji ambapo Kaze amebainisha kuwa wamelazimika kuzungumza nao ili kuwaweka sawa kisaikolojia

Amesema wataingia katika mchezo dhidi ya Simba kwa nguvu wakiwa na lengo ya kuondoka na alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’