Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa mkataba wa Mwinyi Zahera ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya soka la vijana na Wanawake, umemalizika tangu Septemba 30
Zahera amekuwa akipita katika vyombo mbalimbali vya habari kuzungumza masuala yanayoihusu Yanga
Kamwe amewataka waandishi wa habari wanaomualika katika vipindi vyao wamuulize mafanikio gani ameiletea klabu ya Yanga wakati akiwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya soka la vijana na Wanawake na sio kuzungumzia unene wa wachezaji
ADVERTISE HERE