FT : Al Hilal 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2022
FT : Al Hilal 1-0 Yanga

Safari yetu kwa upande wa ligi ya mabingwa imefikia tamati baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Al Hilal katika mchezo uliopigwa Sudan leo

Bao la dakika ya tatu lililofungwa na Mohammed Abdelrahman liliihakikishia Al Hilal ushindi muhimu katika mchezo uliojawa na kila aina ya vurugu

Al Hilal wamesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1

Yanga bado ina nafasi nyingine kwenye michuano ya kombe la Shirikisho ambapo itacheza mechi nyingine mbili za mtoano kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi katika michuano hiyo

Somo ambalo Yanga inaondoka nalo Sudan ni kuwa ni lazima kutumia vyema uwanja wa nyumbani kwani kama Yanga ingeshinda mchezo wa Dar pengine leo mambo yangekuwa tofauti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’