Yanga kuifuata Al Hilal Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2022
Yanga kuifuata Al Hilal Jumamosi

Msafara wa kikosi cha Yanga utaondoka nchini siku ya Jumamosi kuelekea Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Oktoba 16 saa mbili usiku kwa saa za Tanzania ambapo Sudan itakuwa saa moja usiku

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema timu itakamilisha maandalizi hapa tayari kwenda kusaka matokeo ya ushindi ugenini

Katika hatua nyingine, Injinia Hersi amekanusha tetesi zinazodai kuwa uongozi wa Yanga umempa kocha Nasreddine Nabi mechi mbili

Hersi amesema uzushi huo upuuzwe, uongozi una imani na Nabi na wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
46m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’