FT : Yanga 1-1 Al Hilal

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2022
FT : Yanga 1-1 Al Hilal

Yanga italazimika kusaka matokeo Sudan baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Hilal katika mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Fiston Mayele aliifungia Yanga bao muhimu la uongozi kwenye kipindi cha pili lakini makosa katika safu ya ulinzi yakaigharimu Yanga kwa kuwaruhusu Al Hilal kufunga bao ambalo ni faida kwao

Mlinda lango Djigui Diarra leo alifanya kazi nzuri katika nyakati tofauti kwa kuhakikisha Hilal hawapati bao la pili licha ya nafasi nyingi walizotengeneza

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ana kazi ya kufanya kurekebisha ili kuhakikisha Yanga inaweza kupata matokeo Sudan

Kikosi chake leo kilikuwa na changamoto katika kuzuia mashambulizi ya kushitukiza ambapo timu ilishambulia vizuri lakini wachezaji walichelewa kurudi kuzuia

Hii ni Ligi ya mabingwa, bado Yanga ina nafasi ya kufanya vizuri huko Sudan

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’