Kata tiketi yako mapema, siku tatu zimebaki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2022
Kata tiketi yako mapema, siku tatu zimebaki

Mwananchi una siku tatu za kuhakikisha umekata tiketi yako kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Jumamosi, Oktoba 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tunakumbushana, Mzunguuko ni Tsh 3,000/- kama utanunua tiketi yako kabla ya siku ya mchezo lakini ukikata tiketi siku ya mchezo utapaswa kulipa Tsh 5,000/-

Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amewahakikishia Wananchi, hawapaswi kuwa na hofu yoyote kuelekea mchezo huo kwani wamejipanga kushinda

Amesema Yanga inakwenda kushinda mchezo huo kwa sababu inacheza nyumbani mbele ya mashabiki huku ikiwa na kikosi bora pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’