Dozi ya Ruvu Shooting, Al Hilal inaandaliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2022
Dozi ya Ruvu Shooting, Al Hilal inaandaliwa

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na michezo inayofuata dhidi ya Ruvu Shooting na Al Hilal

Mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utapigwa Oktoba 03 katika uwanja wa Uhuru, utakuwa kipimo cha kwanza kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Oktoba 08

Wananchi wanapiga kazi kwelikweli pale Avic Town, hesabu kali zikipigwa kuelekea mchezo dhidi ya Al Hilal lengo likiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa

Jana Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Eagle Fc ukiwa ni sehemu ya program ya mazoezi, mchezo wa ndani ukipigwa Avic Town, Wananchi wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1

Fiston Mayele akiendeleza kasi yake ya kuzifumania nyavu akifunga mabao mawili, Joyce Lomalisa na Ibrahim Bacca wakifunga mengine mawili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’