Yanga imekamilisha mchakato wa kuajiri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2022
Yanga imekamilisha mchakato wa kuajiri

Yanga imekamilisha mchakato wa ajira kujaza nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi August 2022, imefahamika

Watu 470 waliomba nafasi mbalimbali za kazi ambapo mchujo wa awamu ya kwanza ulibakisha watu 47

Tayari usaili wa mwisho umefanyika ambapo juzi Ijumaa Secretariat ya Yanga ilipokea ripoti ya usahili huo kwa ajili ya maamuzi ya mwisho

Wale wote waliofanikiwa kwenye mchakato huo watataarifiwa rasmi na mambo mengine ya kiutawala yatakamilishwa

Muda wowote kuanzia sasa Wananchi wataarifiwa safu mpya ya wafanyakazi wa Yanga kuanzia Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Fedha, Mkurugenzi wa Habari, Meneja Mahusiano, Afisa Habari, Meneja Miradi, Daktari wa Timu n.k

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
57m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’