Kikosi cha Yanga Princess chini ya Kocha Edna Lema 'Mourinho' kinaendelea na mazoezi makali kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite'
Leo Yanga Princess walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya JMK park Queens na kuibuka na ushindi wa mabao 6-0
Yanga Princess imesukwa upya mkakati ukiwa kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake msimu huu










ADVERTISE HERE