Senzo anaamini Yanga inakwenda makundi ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2022
Senzo anaamini Yanga inakwenda makundi ligi ya mabingwa

Pamoja na kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa amesema ana matumaini kuwa Yanga itatinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Senzo ambaye amerejea kwao Afrika Kusini, amesema amezifuatilia St George na Al Hilal na anaona kati ya timu hizo hakuna yenye kikosi bora kuliko Yanga na hivyo kama wachezaji wa Yanga watapambana sawasawa, wanaweza kutinga makundi

Senzo amesema anafahamu Yanga itauchukulia mchezo dhidi ya Al Hilal kwa umuhimu na kufanya maandalizi mazuri

"Naamini kutakuwa na mipango mikubwa kuelekea hizi mechi mbili zinazofuata, nafuatilia mechi za Yanga unajua mimi ni mwananchi timu iko moto sana," Senzo alinukuliwa na gazeti la Mwanaspoti

"Kikosi kimejaa vizuri sidhani kama ni suala la Zalan dhaifu pekee, hiki ni kikosi ambacho kimeshinda mechi nyingi ngumu, pia kuna benchi bora la ufundi hivi ni vitu vinavyoitofautisha Yanga na timu itakayokutana nayo hatua inayofuata, nawaona Wananchi wakitinga hatua ya makundi msimu huu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’