Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji
Wananchi wana matarajio makubwa katika uongozi wa sasa ambao yeye ni Makamu wa Rais, Injinia Hersi Said akiwa Rais
Arafat alitoa ahadi maalum kwa timu ya Wanawake, Yanga Princess, Wananchi wameshuhudia usajili mkubwa umefanyika
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY ARAFAT..
ADVERTISE HERE