Daktari bingwa wa mionzi Dk Paschal Joackim leo atakuwa mgeni mualikwa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zalan Fc ambao utapigwa saa moja usiku kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Dk Joackim ambaye anasumbuliwa na magonjwa adimu katika hospital ya Muhimbili (Moi), ni shabiki mkubwa wa Yanga
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alimtembelea mapema leo na kumpa mwaliko huo ajumuike na Mwananchi wenzake kwenye mchezo dhidi ya Zalan Fc


ADVERTISE HERE