Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Meneja wa Yanga, Walter Harson
Harson amejiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya KMC
Amerithi mikoba ya hafidh Saleh aliyepandishwa cheo kuwa Mratibu wa Yanga
Ikiwa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo, keki ya birthday itakatwa baada ya mchezo dhidi ya Zalan Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku
HAPPY BIRTHDAY WALTER...!
ADVERTISE HERE