Ni Jumamosi dimba la Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2022
Ni Jumamosi dimba la Mkapa

Ni kesho Jumamosi saa moja usiku pale uwanja wa Benjamin Mkapa Wananchi watakuwa na jambo lao kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Zalan Fc

Ni siku nyingine kwa mashabiki wa Yanga na wadau wa soka kupata burudani kutoka kwa mabingwa wa nchi

Yanga imedhamiria kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa kibabe

Kwa kiingilio cha Tsh 2,000/- tu utawashuhudia kina Fiston Mayele, Aziz Ki, Bangala, Feisal, Moloko, Morrison na wengine

VIP A ni Tsh 10,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-

Hakikisha umekamata tiketi yako leo...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’