Ngoma kutua wiki ijayo

Admin By Admin
β€’
15 Jul 2017
Ngoma kutua wiki ijayo
Mshambuliaji Donald Ngoma anatarajia kurejea uwanjani wiki ijayo baada ya kupona maumivu ya goti yaliyokuwa yakimsumbua.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alisema Ngoma alipewa mapumziko ya wilki tano ndio maana amechelewa kujiunga na wenzake katika mazoezi yaliyoanza wiki iliyopita lakini mchezaji huyo ataanza mazoezi rasmi wiki ijayo.

Mchezaji huyo aliongezewa mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga baada ya kuwapo presha kubwa ya usajili kutoka kwa Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
30m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’