Mwananchi yule pale kileleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2022
Mwananchi yule pale kileleni

Baada ya ushindi wa nabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar hapo jana, Yanga imejihakikishia kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi licha ya watani zao Simba kushinda bao 1-0 dhidi ya Prisons leo

Yanga na Simba zote zina alama 10 lakini Yanga imefunga mabao mengi zaidi (9) na kuruhusu mabao matatu wakati Simba imefunga mabao nane na kuruhusu mabao mawili

Msemaji wa zamani wa Yanga Haji Manara ametamba kuwa Wananchi hawatashuka tena kileleni mpaka ubingwa mwezi Juni 2023Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’