Kituo kinachofuata ni Zalan Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2022
Kituo kinachofuata ni Zalan Fc

Jumamosi Septemba 17 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, mchezo wa mkondo wa pili ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya awali kati ya Yanga dhidi ya Zalan Fc utapigwa

Zalan Fc kutoka Sudan Kusini walibugizwa mabao 4-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza Fiston Mayele akipiga 'hat-trik'

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema bado hawajamaliza kazi jana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, Nabi aliwapa mapumziko baadhi ya wastaa wake muhimu kwa ajili ya mchezo huo

Wananchi wamepania kutinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo kibabe. Zalan Fc wajipange kwelikweli la sivyo wataoga mvua ya mabao!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’