Mayele ananyemelea rekodi ya Ngassa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2022
Mayele ananyemelea rekodi ya Ngassa

Februari 08 2014 winga wa Yanga Mrisho Ngassa alifunga hat-trik katika uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Komorozine Wananchi wakiondoka na ushindi wa mabao 7-0

Februari 15 2014 ukapigwa mchezo wa marudiano huko Comoro Ngassa akarudia kile alichofanya dimba la Mkapa akaweka kambani hat-trik ya pili Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 5-2

Ni katika msimu ambao Ngasa aliibuka mfungaji bora wa michuano ya CAF

Septemba 10 2022 Fiston Mayela amefunga hat-trik katika mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Zalan Fc

Kama atafunga hat-trik katika mchezo wa marudiano Septemba 17 basi ataifikia rekodi iliyowekwa na Ngassa mwaka 2014

Mayele anayo nafasi ya kuifikia rekodi hiyo katika mchezo huo wa pili ambao Yanga watakuwa wenyeji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
30m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’