Hat-trik ya heshima kwa Mayele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2022
Hat-trik ya heshima kwa Mayele

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trik katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Mayele amefunga mabao matatu leo katika ushindi wa mabao 4-0 ambao Yanga wamepata dhidi ya Zalan Fc

Pengine angeweza kuondoka na mabao matano kama mabao mengine mawili yasingekataliwa

Mayele anaingia kwenye rekodi za CAF kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trik msimu huu

Ilikuwa siku nzuri kwake, ushindi murua kwa Wananchi...!

Zalan Fc bado wana kazi kwani wiki ijayo, Septemba 17 watarejea tena dimba la Mkapa kuumana na Yanga, safari hii Wananchi watakuwa nyumbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’