Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wanajiandaa kikamilifu kuwakabili Zalan Fc kwenye mchezo wa hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza, utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Zalan Fc wakiwa wenyeji
Harrison amesema hawaidharau Zalan Fc kwani ni timu nzuri tofauti na vile inavyochukuliwa na wengi
ADVERTISE HERE