Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stara' imeondoshwa kwenye michuano ya CHAN baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Uganda
Uganda imefuzu kwa fainali za michuano hiyo itakayofanyika Algeria kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-0
Wenyeji Uganda walikuwa bora zaidi, wakitumia vyema makosa yaliyofanywa na wachezaji wa Stars
Ni kipigo cha aibu kwa Stars ambayo kwa hakika inahitaji kuboreshwa zaidi
ADVERTISE HERE