Mshambuliaji wa Yanga Chrispine Ngushi anaendelea kuimarika majeraha yaliyomuweka nje kwa miezi kadhaa
Ngushi alipata majeraha katika kifundo chake cha mguu, sasa akianza program maalum ya mazoezi ya Gym
Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema Ngushi anaendelea kuimarika Wananchi watarajie kumshuhudia dimbani karibuni
Ngushi alisajiliwa na Yanga mwezi Januari 2022 katika usajili wa dirisha dogo akitokea klabu ya Mbeya Kwanza
Hata hivyo bado Wananchi hawajapata nafasi ya kufurahia kipaji chake kutokana na changamoto ya majeraha yanayomkabili mara kwa mara
ADVERTISE HERE