Happy Birthday SureBoy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Aug 2022
Happy Birthday SureBoy

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo fundi Salum Abubakar 'Sure Boy'

Usajili wa Sure Boy kutua Yanga ulifanyika katika dirisha dogo mwezi Januari 2022, kwa hakika umekuwa usajili wa thamani kubwa sana

Sure Boy amekuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha kocha Nasreddine Nabi, mchango wake katika awamu ya pili ya msimu uliopita haukuwa wa mashaka

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake

HAPPY BIRTHDAY SUREBOY

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
26m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’