Baada ya mazoezi ya Gym, kikosi cha Yanga kimerejea Avic Town kuendelea na mazoezi ya ndani ya uwanja
Ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Septemba 06 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE