Winga Bernard Morrison jana alitoa goli lake kama zawadi kwa mashabiki wa Yanga waliopata ajali wakiwa safarini mkoani Tanga kushuhudia mchezo dhidi ya Coastal Union
Morrison amesema mapenzi wanayopata kutoka kwa mashabiki wawapo uwanjani ndio sababu inayopelekea wao kufurahia kazi yao
Hawafurahi kusikia mashabiki wao wanapata matatizo, ametuma salamu za pole kwa wale waliokumbwa na ajali hiyo iliyopelekea kifo cha shabiki maarufu Dada Hadija

ADVERTISE HERE