Mshambuliaji Fiston Mayele leo amefunga bao lake la pili msimu huu akiisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union
Mayele sasa amefunga mabao manne katika michezo mitatu, akifunga mabao mengine mawili kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba
Baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union leo, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alikanusha tetesi zinazoihusisha Yanga na mshambuliaji wa Vipers Fc Cesar Manzoki
Nabi amesema kikosi chake kimekamilika, hivyo hakuwahi kumuhiji Manzoki kama inavyoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii
ADVERTISE HERE