Yanga yasaini mkataba na Jackson Group

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2022
Yanga yasaini mkataba na Jackson Group

Klabu ya Yanga imetangaza kuingia mkataba na Jackson Group Company kampuni inayohusika na masuala ya masoko (Marketing)

Mkataba huo wa miaka miwili umelenga kuinufaisha Yanga kwenye Marketing na Branding huku ukifungua fursa zaidi kwa wawekezaji na wadhamini.

Jackson Group wamewahi kuwezesha dili la Kampuni ya Vodacom kuidhamini ligi kuu Tanzania bara pia wakiwahi kushirikiana na klabu za nje ya nchi kama Arsenal, Hull City na hata hapa Tanzania

Mkataba huo utaifanya Jackson Group kuhusika katika michakato ya kusaka wadhamini na wawekezaji ambao watakuja kuwekeza Yanga pale mchakato wa Uwekezaji utakapokuwa umeanza rasmi

Yanga itauza hisa asilimia 49 kwa wawekezaji na asilimia 51 zikibaki kwa Wanachama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’