Maboresho muhimu yamefanyika August 16 2022, Update App yako
Kila kitu kilichokuwepo kwenye toleo la Mwana Jangwani la zamani, kimewekwa katika toleo jipya, yapo mengine mazuri yameongezwa
Menu ya App imehamishiwa chini, ipo menu nyingine ambayo ina vitu vingine ambavyo havionekani hapo chini
Ukibonyeza icho kitufe cha nne upande wa kulia chenye mshale unaoangalia chini, utafungua ukurasa wenye MENU zaidi.
Kama ukifungua ukurasa huo huoni kitu, tafadhali nenda Play Store, Update App yako. Kuna maboresho yamefanyika


Kuangalia msimamo wa ligi bonyeza Standing
Kuangalia kikosi cha Yanga msimu huu bonyeza Squad 2022/23
Kuangalia orodha ya wafungaji kwenye ligi bonyeza Goals ranking
Kutoka/kuingia kwenye App bonyeza Login/Logout
Kubadilisha lugha bonyeza Language
Pia FIRST TEAM ina taarifa ya vikosi vya mechi zilizopita, FULL TIME ina taarifa ya mechi zilizopita na HIGHLIGHTS ni video za michezo iliyopita

Kama unapata changamoto kufungua ukurasa wenye menu hizi, tafadhali nendaΒ Play Store, Update App yako