Dirisha la usajili CAF linafungwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2022
Dirisha la usajili CAF linafungwa leo

Dirisha la usajili la Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) linafungwa leo August 15, 2022

Leo ndio siku ya mwisho kwa klabu zinazoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika kukamilisha awamu ya kwanza ya usajili

Yanga itashiriki michuano ya ligi ya mabingwa ambapo Kaimu Mtendaji Mkuu SImon Patrick amesema wao wamekamilisha usajili wao kwa ajili ya michuano ya Kimataifa

Yanga imeongeza wachezaji watano wa kigeni Joyce Lomalisa, Stephane Aziz Ki, Bernard Morrison, Lazarus Kambole na Gael Bigirimana

Wakati dirisha la usajili la CAF likifungwa leo, dirisha la usajili wa ndani bado lipo wazi mpaka August 31 2022

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’