Farid amerudi na 'moto' wake

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Aug 2022
Farid amerudi na 'moto' wake

Farid Mussa ameuwasha moto mapemaa akionyesha kiwango bora kwenye mchezo wa Wiki ya Mwananchi licha ya Yanga kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 na Vipers Fc

Huu unaweza kuwa mwanzo wa msimu mwingine mzuri kwake pamoja na kuwa atakuwa na ushindani wa namba baada ya ujio wa nyota wapya katika kikosi cha Yanga

Lakini yeye ana faida zaidi kwa kuwa ana uwezo wake wa kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani

Wiki chache zilizopita, Farid aliongeza mkataba wa miaka miwili hivyo ataendelea kuonekana sana kwenye kikosi cha Yanga

Keshokutwa Jumamosi Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii

Wengi wanakumbuka pasi yake murua kwa Mayele katika mchezo kama huo msimu uliopita

Nabi huenda akamtumia siku ya Jumamosi hasa baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Vipers Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’