Ni dabi ya kwanza msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2022
Ni dabi ya kwanza msimu huu

Keshokutwa Jumamosi Wananchi wataanza msimu mwingine kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Huu utakuwa msimu wa pili mfululizo Yanga wanakutana na Simba katika Ngao ya Jamii

Fiston Mayele aliibuka shujaa katika mchezo wa msimu uliopita akifunga bao pekee la Yanga ilipoibuka na ushindi wa bao 1-0

Mayele atakuwa na nafasi nyingine ya kuwapa Wananchi raha ya kutetema katika mchezo huo ambao huenda ukashuhudiwa na Rais wa FIFA Gianni Infantino, Rais wa CAF Dk Patrice Motsepe ambao wapo nchini kwenye Mkutano wa mwaka wa CAF

Baada ya kupoteza mchezo wa wiki ya Mwananchi, Yanga ilirejea kambini Avic Town, kujiandaa na mchezo huo

TFF imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’